Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars anayecheza soka la kulipwa katika club ya KRC Genk ya Ubelgiji Mbwana Samatta usiku wa May 10 ametumia ukurasa wake wa instagram kupost picha ya pamoja na mtanzania mwenzake Himid Mao anayeicheza Azam FC wakiwa wote Ubelgiji
Himid ambaye hivi karibuni alikuwa katika majaribio Denmark katika club ya Randers FC ameonekana ameamua pia kwenda kumtembelea Mbwana Samatta Ubelgiji kutokana na Denmark na Ubelgiji kuwa sio mbali sana, Samatta amepost picha akiwa uwanja wa ndege wa Brussels Ubelgiji na kuandika “Nikiwa na mgeni wangu
Post A Comment: