Raymond Afunika WCB ‘Kulikuna’ Sikio La Mtayarishaji

Share it:

Uwezo wa Raymond aka Rayvanny wa WCB umeendelea kuwa gumzo kwenye vinywa vya wajuzi wa masuala ya muziki, ambapo sasa hali hiyo imemfika mtayarishaji wa muziki wa Wasafi Records, Laiza.
Laiza amemtaja Rayvanny kuwa ndiye msanii ambaye anajisikia shangwe na ku-enjoy zaidi kufanya naye kazi za muziki kuliko wasanii wote wa kundi hilo lililo chini ya Bosi, Diamond aka Chibu Dangote.
“Nikiwa nafanya kazi na Raymond naenjoy zaidi,” Laiza alifunguka kupitia Twenzetu ya 100.5 Times Fm.
Share it:

SWAHILI MEDIA GROUP LTD

EAST AFRICA NEWS

Post A Comment:

Also Read

GK AWAKUMBUSHA WASANII KURUDI SHULE

Msanii wa muda mrefu katika muziki wa Hip Pop nchini, Gwamaka kaiula anayejulikana kwa jina la ‘King Crazy GK’ ameta

Anonymous