Wafuasi Wa Manji,Gwajima ‘Wamchefua’ Magufuli

Share it:


Rais Dkt.John Pombe Magufuli ameonesha kukerwa na wafuasi wa Yusuph Manji pamoja na Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima
Josephat Gwajima waliokwenda kituo cha Polisi wakati vigogo hao walipoitwa kwenda kuhojiwa kuhusiana na sakata la Madawa
ya kulevya jijini Dar es salaam.
Akizungumza Ikulu jana Magufuli amelitaka jeshi la Polisi kuwakamata na kuwaweka ndani wafuasi wote watakaojitokeza kuanzia
sasa kituo cha Polisi wakati mtuhumiwa yeyote anahojiwa.
Aidha,wafuasi wa Manji ambao ni Mashabiki wa Yanga walionekana
wakifuta vumbi gari la Manji pamoja na wafuasi wa Gajima waliovalia
sare walionekana kwa wingi kituo cha Polisi cha kati wakisuburi kujua
hatma ya vigogo hao.
Kwa habari tazama video hii.

Share it:

Unknown

EAST AFRICA NEWS

Post A Comment:

Also Read

SAA 48 ZAMNASA MBOWE

Saa 48 zilizotolewa na Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Simon Siro kwa Mwenyekiti wa Chadema, Free

Anonymous