Baada ya Kutoka Selo Kwa Dhamana Hii Ndio Post ya Kwanza Aliyoandika Wema Sepetu Instagram.

Share it:

Inawezekana kama wewe ni shabiki wa Wema Sepetu ulikua na hamu sana ya kujua post yake ya kwanza kwenye mitandao ya kijamii itahusu nini baada ya kuachiwa kwa dhamana na Mahakama kufuatia sakata la dawa za kulevya lililomfanya alale Polisi.

Post ya kwanza ya Mwigizaji huyu haijahusu chochote kuhusu kesi yake ama alichokipitia wiki iliyoisha bali imemuhusu dada yake ambaye leo ni siku yake ya kuzaliwa kama inavyoonekana hapa chini.

Wema Sepetu atarudi tena Mahakamani mwishoni mwa mwezi huu baada ya kupata dhamana Alhamisi ya wiki iliyopita kwenye Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu Dar es salaam.
Share it:

Unknown

GOSSIP

Post A Comment:

Also Read

MASAUNI AWATAKA MAAFISA MAGEREZA KUONGEZA KASI YA UZALISHAJI NCHINI, AFUNGUA MKUTANO WA WAKUU WA VITUO VYA MAGEREZA TANZANIA BARA, JIJINI DAR ES SALAAM

Naibu Waziriwa Mambo ya Ndani, Mhandisi Hamad Yusuph Masauni amesema Serikali haitasita kuchukua hatua kwa wakuu

Unknown