Rich Mavoko: Nafurahia maisha yangu WCB, aahidi ujio wa collabo za Kimataifa.

Share it:

Msanii wa Bongo Fleva, Rich Mavoko ameelezea mafanikio yake tangu alipojiunga na Label ya WCB inayosimamiwa na Diamond Platnumz huku akifunguka kuwa anafurahia maisha yake kwenye label hiyo aliyojiunga miezi tisa iliyopita.

“Kusema kweli maisha ni mazuri sana, tunaishi kwa upendo, tunashirikiana, ni sehemu ambayo unaweza ukakaa na kufanya muziki nzuri kwa sababu watu ambao wanakuzunguka ni wasanii hata mabosi wetu, Sallam na Tale ni watu ambao wako kwenye huu muziki wa muda mrefu,” Rich Mavoko aliuambia mtandao wa Bongo5.

Amefunguka kuwa ameona mafanikio hasa kwenye soko la kimataifa huku akiahidi ujio wa collabo zake na wasanii wa nje.
Share it:

Unknown

ENTERTAINMENT

Post A Comment:

Also Read

Watu Wazidi kukamatwa Nchi Nzima Kisa Madawa ya Kulevya.

MOTO dhidi ya dawa za kulevya umezidi kusambaa kwa kasi nchini, baada ya watu 247 kukamatwa katika mikoa ya Dodoma

Anonymous