😂 Sifa mbaya: Cheki kilichompata huyu mwanaume mpenda sifa✔

Share it:

SIFA MBAYA…
Jamaa alikuwa ndani ya daladala Mara simu ikaita alikuwa ni mkewe kwa sifa jamaa akaweka loud speaker ili watu wasikie wanavyopendana.
JAMAA;wife Mara hii umenimiss jaman
WIFE; kwa nini umekunywa uji wa mtoto?!!!
😂😂😂😂😂
Share it:

Unknown

VICHEKESHO

Post A Comment:

Also Read

MALAYSIA YAWAFUKUZA WATU 50 RAIA WA KOREA KASKAZINI

Malaysia inasema kuwa itawafukuza raia 50 wa Korea Kaskazini ambao vibali vyao vya kukaa nchini humo vimepitwa na w

Unknown