Kabla
ya ujio wa Lowasa na kuondoka kwa Dr. Slaa, Chadema kilikuwa kinaongoza
mijadala kuhusu mstakabali wa nchi yetu. Chadema walifanikiwa ku-plan
strategically mijadala na mikakati ya kisiasa nchini na hivyo kuwafanya CCM
kuwa katika defensive mode (kujihami). CCM kilipata ganzi ya akili na hivyo
kazi yao ilikuwa kuwasubiri CDM waibue mijadala na hivyo CCM kuwa reactive.
Mambo
yaligeuka kabisa tangu helikopita ilipogiga reverse angani. That was a defining
moment ambapo CDM ilianza kuwa reactive. Harakati za vijana wa CDM, ambao
walikifanya chama kupendwa kwa hoja zao mruwa zikafifishwa. Akatangulizwa
Lowasa badala ya vijana hawa akina Mdee, Mnyika, Msigwa, Lissu, n.k. Wengi
tulitahadharisha sana na kuwaonya CDM kuwa Lowasa atakuwa liability (mzigo) kwa
chama. Tuliona kuwa viongozi wa CCM walikuwa pre-occupied na matokeo ya muda
mfupi waliyodhani watayapata, badala ya kuendelea kujenga taasisi endelevu
-yenye mizizi mpaka chini kabisa katika mioyo ya watu. CDM inayoongozwa na
vijana na yenye kuongoza mijadala yakisiasa Tanzania. Tulionya kuwa nafasi na
harakati za vijana, pamoja na ajenda ya CDM ya kupinga ufisadi zitazimuliwa
kama siyo kuzimwa kabisa. Ndicho kilichotokea.
Kabla
ya kuendelea ngoja nitoa ufafanuzi wa tofauti ya neno reactive na proactive:
Ukiangalia
kwenye dictionary na maelezo mbalimbali kutoka kwenye mitandao utaona tofauti
zifuatazo za maneno haya mawili.
Reactive:
done in response to a problem or situation : reacting to problems when they
occur instead of doing something to prevent them. A person who is reactive
usually responds to another, but does not act on himself. Such people do not
usually take the initiative in something. This is a negative feature of an
individual as the person. People who are reactive in society need a push to
complete a task. They do not take it upon themselves unless they are being told
to by someone else.
Proactive:
refers to being prepared even before an incident takes place. A proactive
person takes the initiative and is prepared, unlike a reactive person. Unlike a
reactive leader who responds to situations as and when events take place, a
proactive leader is one who anticipates what is going to happen and works
accordingly to minimize the effect of the event or to work to take advantage of
the event.
CCM
wame-take advantage ya ujio wa Lowasa na Sumaye CDM. Kwa mfano hivi karibuni,
katika Bunge Chadema walipendekeza kuwa marais waliohusika kwa namna moja ama
nyingine kuwepo kwa mikataba nyonyaji ya madini kati ya nchi yetu na wawekezaji
(wanyonyaji au wezi kama wengine wanavyowaita) nao washughulikiwe. Ndugai
aliwaambia CDM kuwa wawe makini na wakumbuke CDM wana viongozi wawili
wanaohusika na maamuzi ya mikataba, akimaanisha Lowasa na Sumaye. Kumbe hapa
Ndugai anakuwa kama wale wanaotumia mbinu yak u-blackmail. Anakuhusisha katika
jambo chafu halafu anatumia weakness hiyo kukuendesha na kukutumia kama
anavyotaka. CDM wanyea.
Nini
kifanyike ndani ya CDM?
Wakati
wa changamoto za kisiasa kama sasa ambapo serikali inaminya demokrasia ya vyama
vingi, ni wakati wa CDM kuwa wabunifu zaidi. Wanatakiwa wafanye yafuatayo kwa
haraka sana.
1.
Lowasa na Sumaye wasiwekwe forefront katika harakati za kisiasa za CDM. Wawekwe
nyuma ya pazia, wasionekane. Hawa si symbol ya harakati za CDM. Wakati ukifika
CDM iwa-phase out.
2.
Vijana warudi forefront kama tunavyoijua CDM. Alama ya harakati za CDM iwe
vijana wakiwemo akina Mnyika, Msigwa, Vincent Nyerere, Halima Mdee, Lissu n.k.
3.CDM
ya akina Baregu, Safari n.k. (huku Lowasa na Sumaye wakiwekwa nyuma ya pazia-
tena mbali kabisa) wabuni strategy za kisiasa na mijadala ya kisera ili CCM
irudi mahali pake pa kuwa reactive na defensive na CDM wawe proactive na hivyo
kuwa viongozi katika nchi hii.
By
Stabilaiza
Post A Comment: