Inawezekana
wengi wetu tukawa tunayatumia bila kujua kwamba tumekusidia kuyatumia. Haya ni
maneno au kauli ambazo mume/mke anaweza mwambia mwenza wake kama ishara ya
kumpandisha "nyege" kabla ya kuanza
kufanya
mapenzi.
Wawili
hawa wanaweza wakawa sehemu tofauti tofauti, mfano mume yupo kazini lakini
anakaribia kurudi nyumbani, mke ukaanza "kumcharura" mumeo kwa kauli
mbali mbali aidha kupitia sms au kwa kumpigia simu, ingawa kupitia sms ndo
inasisimua zaidi!
Hapa
najua naongea na watu wazima, sina haja ya kuandika zaidi maneno yenyewe lakini
kila mmoja ni mjuzi wa tabia na vitu ambavyo mwenza wake anavihusudu hasa mkiwa
kitandani, mfano; Baby ukirudi leo nataka unipindishe pale katika dressing
table kama ulivyonifanyia jana, na leo nimevaa lile gauni ulipendalo na zile
bikini mpya, dont be late my love"
Maneno
haya kwa anayejua mapenzi na anampenda mkewe ni lazima huko alipo
"Jogoo" awike kidogo! nayeye hawezi kubaki kimya lazima atajibu
mashambulizi, nna uhakika itafikia point kila mtu, Udenda Utamtoka kwa nafasi
yake !
Na
kila mmoja akawa na hamu ya mapenzi na mwenzie! Tuyatumie Maneno hayo kwa
nafasi zetu !
Post A Comment: