Eeh
ndo hivyo, akina dada wengi wanajirahihisha sana wala hawaoni aibu kuzungusha
kwa vijana wa mtaani na maofisini.Zamani nasikia msichana unaweza ukafukuzia
miaka mi 2 na kuendelea nowdays ukitoka nae tu appointment chupa ya pili
ikikolea kichwani akili yote inakimbilia chini kazi kwako tu kuangusha kwa ubua
Kingine
material things, watu wengi wako kimaslahi ndo maana anaweza easily aka confuse
mapenzi na pesa hii ni kutokana na economic liberalisation sijui? Utaona mdada
ana mpenzi wake atakuambia i love my guy blah blah nyingi lakini sasa kama huyo
Guy hawezi kumnunulia Iphone 7 wala hawezi ku offord outing za zanzibar
weekend, we muambie tu twende Zanzibar this week lazima lovely Guy atoswe na
lazima ujilie tu huko.
Mapenzi
yakishakua tu biashara basi tambua kuwa soko lake litatawaliwa na demand and
supply kwa kuwa kuna wadada wengi mjini supply ni kubwa lakini wanalazimika
kushusha bei, utu tena katika mapenzi taratibu unapotea hapa ni chapa tu ilale.
Kwanini wanaume waweke ndani wakati kinapatikana tu kirahisi? Na hata hiki
kilichokua ndani kutokana na ushindani wa soko kinaweza kikachukuliwa?
Post A Comment: