POVU LA WEMA SEPETU KWA WANAO MSEMA VIBAYA..!!

Share it:
By @wemasepetu - Shape ya mwendokasi... Ndo niliojaliwa nayo... Kama imeanzia kiunoni kwenda magotini ndo niliojaliwa nayo... Kama wewe hauna basi mshukuru Allah... Ndo nilivyoumbwa jamani... Sio mimi bali ni Maulana ndo alionibariki nayo... Hata ingekuwa kwanzia kichwa hadi Vidole vya miguuni ni sawa pia... Ndo niliojaliwa nayo.... Sometimes najiangalia kwenye kioo sijimalizi... Ndo majaliwa yangu... Ndo yangu basi... Imenizidia... Allah Subhanah wataallah ndo amenipa... Aaaah....!? Sio shepu ya kawaida... Niacheni na Shepu yangu jamani... Ndo nishaimiliki mie... Siwezi kuitoa...
Share it:

Unknown

EAST AFRICA NEWS

ENTERTAINMENT

GOSSIP

Post A Comment:

Also Read

PROFESA MBARAWA ATETA NA BALOZI WA UINGEREZA HAPA NCHINI

  Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (Kulia), akipokea taarifa ya upembuzi yakin

Unknown