😂 Misemo 17 ya kuchekesha✔

Share it:

1) gari la kuvutwa halina overtake
2) kisigino hakikakai mbele
3) wimbo wa taifa haupgwi disko
4) feni haiwashwi beach
5) mshkaki hauchomwi kwa jiko la ges
6) mganga haagiz tembele
7) hata bibi alikuwa bint
8) mke wa mtu sumu,mume wamtu maziwa
9) kipara bila pesa ni kovu
10) mbwa hanenepi migiuu
11) picha ya rais haina bodyguard
12) mjini shule kijiji tuition
13) saa ya ukutani haivaliwi mkonon
14) heshima pesa shkamoo makelele
15) ulinz pesa bastora mzgo
16) kuku ni kuku jogoo mbwembwe
17) kusoma kuelewa kukesha mbwembw
Share it:

Unknown

VICHEKESHO

Post A Comment:

Also Read

MGOMO WA KUUZA VINYWAJI VYA COCA-COLA NA PEPSI INDIA.

Maelfu ya maduka katika jimbo la Tamid Nadu nchini India yatasitisha uuzaji wa vinywaji vya Coca-Cola na Pepsi kuan

Anonymous