PLEASE Help-Siwezi Pitisha Siku Bila kutembea na Malaya

Share it:


Mimi ni Kijana wa Miaka 27 , Nimemaliza chuo Mwaka Jana, Now nafanya kazi katika shirika moja kubwa hapa Dar es salaam, Wakati nilipokuwa  chuo mimi na wenzangu tulikuwa na mchezo wa kwenda pale Corner Bar Kuchukua wasichana wanao Jiuza wa bei ndogo na kujiridhisha, Mchezo huu umeendelea mpaka nimemaliza chuo na nina kazi yangu ..Huwa nasikia raha sana kulala na hao watu...!!Nina Girlfriend wangu ila huwa nikilala nae sisikii  raha kama nikiwa na changudoa, Sasa jioni mara nyingi huwa natoka na kwenda mitaa ya Sinza kutafuta wa kuwa nae kwani kupitisha siku bila hiyo kitu siwezi.


Nataka niiache hii Tabia Naomba Ushauri nifanyaje.!!Admin Please Post hii Ili watu wanipe Ushauri....
Share it:

Unknown

ENTERTAINMENT

GOSSIP

LOVE

Post A Comment:

Also Read

Jeshi la polisi Dar lawashikilia watuhumiwa wa meno ya Tembo

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa wawili wakiwa na vipande sita vya

Unknown