KAMA watafanikiwa kuifunga Tanzania Prisons katika mchezo wa jioni ya Leo katika uwanja wa Sokoine, Mbeya, timuya Kagera Sugar FC itarejea katika nafasi ya Tatu ya msimamohuku wakifikisha pointi 40 ambazo zitawafanya kuwa nyuma ya alama 11 nyuma ya vinara Simba SC na alama Tisa nyuma ya mabingwa watetezi Yanga SC.
Kagera ilinusurika kushuka daraja msimu uliopita lakini tangu kuwasili kwa kocha kijana Mecky Mexime katika timu hiyo ya Bukoba, Kagera mamboyamekuwa yakienda vizuri.
Kagera ilinusurika kushuka daraja msimu uliopita lakini tangu kuwasili kwa kocha kijana Mecky Mexime katika timu hiyo ya Bukoba, Kagera mamboyamekuwa yakienda vizuri.
Mecky
aliwasaini wachezaji wazoefu kama Danny Mrwanda,golikipaJuma Kaseja na wachezaji
vijana kama Edward Christopher, Mbaraka Yusuph na Ibrahim Twaha ‘Messi’na
hadi sasa kikosi chake kikiwa kimecheza michezo 21 kimefanikiwa kushinda
michezo 11, mechi 6 wamepoteza na nyingine nne wametoa sare.
“Mechiya leo ni ngumuilayotekwayotetutajitahidi kushinda. Uwezowa kushindatunao.”Anasema mchezaji huyo wa muda mrefu kikosi Kagera.
“Kwasasa tuna kikosi kizuri chenye mchanganyiko wa wachezaji vijana na wale wazoefu
Kitu kizuri ni kwamba vijana wamekuwa na nidhamu ya hali ya juu,wanapenda kujifunza na heshima katika timu ipo kwa kiwango cha juu huku upendo miongoni mwa wachezaji ukichochea timu kuendelea kufanya vizuri.
Kagera ilifungwa 6-2 na Yanga katika mchezo wa raundi ya kwanza kashawaka poteza tena mbele ya Azam FC hali iliyofanya baadhi ya mashabiki wa soka mkoani Kagera kuhoji uwezo wa kocha Mecky.
“Tulipoteza mechi ile ya Yanga kwasababu ya uchovu tu hakuna kingine pia tukapoteza mchezo uliofuata dhidi ya Azam,lakini kocha Meck ya lituambia ni matokeo tu ya mchezo na hatupaswi kukatatama. Alitujenga vizuri kisa ikolojia na mpaka sasa tumeshasahau na tunaangalia mbele.
“Ukitazama kikosi chetu jinsi kinavyo cheza msimu huu utagundua nikiasi gani kocha Mecky amefanikiwa kuibadilisha timu iliyokuwa dhaifu na kuifanya iwe bora.
Kagera hii ya sasa naifananishana
ileyamisimumiwiliiliyopita, tunacheza vizurina
tunawezakushindakatikauwanjawowote-nyumbaniauugenini.”Anasema Kavila
Kagera imefanikiwa kufunga magoli 24 na kuruhusu nyavu zao mara 20 katika michezo 21 waliyokwisha cheza katika ligi. Ili waendelee kuwa bora wanapaswa kuongeza nguvu katika mashambulizi na kuongeza mfungaji wa nyongeza na kuacha kumtegemea MbarakaYusuph pekee ambaye tayari amefunga magoli 9.
“Mwali mundi ye anajua nini cha kufanya ili timu ifunge magoli na kuzuia vizuri. Muda mwingi amekuwa akiwaelekeza mabeki cha kufanya,lakini mpira ni mchezo wa makosa na ili ufungwe unatakiwa kufanya makosa. Tunajitahidi sana kurekebisha makosa yetu, na kuhusu kufunga magoli zaidi hilo sina shakanalo. Tutafunga kwa sababu wafungaji wapo.”
Februari 24 timu hiyo itacheza na Stand United ya Shinyanga katika mchezo wa hatua ya 16 bora wa michuano ya FA Cup.
“Itakuwa mechi ngumu, tunawaheshimu Stand ni timu nzuri ila sisi ni wazuri zaidi yao na tumedhamilia kufanya vizuri katika michuano hiyo pia ikiwezekana kushinda ubingwa ili tuiwakilishe nchi katika michuano ya Afrika mwaka ujao.”

Post A Comment: