JIFUNZE KUANDIKA SMS ZA MAPENZI.

Share it:


Moyo wangu saafi kama upole wa tausi  wingi wa baridi kama maji ya mtungi ,yote ni kutokana na mapenzi unayonipatia.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
  Mapenz hayana msimu walam majira isipokuwa ni kama majani yaotayo popote kwani siyo mimi ni msukumo na hisia zangu. Nakupenda sana
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
nashindwa kudanganya moyoni ulivyonijaa
faraja na furaha  uliyonipa
moyoni umeshaniingia kwa tabasamu unalonipa
moyo wangu wakuridhia.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Raha ya ndege kichaka si tunduni asilani, RAha ya ndege mpunga na wala sio majani, Raha ya ndege kuruka na kuimbia angani, Ndege salam nakupa zipeleke kwa makini, iwapo hukumkuta msubiri mlangoni, Usije ukaondoka ingia mpaka ndani, mwambie namkumbuka japo kuwa simuoni 
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
 Ewe sms nenda kwa huyu mtu wangu wa karibu ukimkuta
amechoka mpe "POLE" ukimkuta mpweke"MLIWAZE" ukimkuta
 anahuzun muulize kwa nn akikupa jibu "MTATULIE"
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
 Udugu wa kweli ndio wenye thamani,
Utajiri
 na mali si chochote maishani,
Upendo na
kunijali ni faraja yangu moyoni,
Hata kama
 upo mbali bado nakuthamini, Salam ni amani
 kwa yule aijuae,
Salamu ni sunna kwa yule
 aitoae,
Salamu ni thawabu kwa yule aitikiae
,
Na mimi nasema "Asalam Alykum"
 •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Alikosa raha ulipougua! alipigana na kutukanwa ulipoonewa, alikaa na njaa ili ww ushibe na kufurahi. Aliakikisha halali mpaka ww ulale, na kikubwa zaid mimi na wewe tusingejuana wala kupendana bila yeye, Je unamjua huyu? Si mwingine ni MAMA. KUMBUKA PEPO ZETU ZIKO CHINI YA NYAYO ZA MAMA ZETU.   (MPENDE SAANA MAMA)
AKIWA HAI MLIWAZE NA KM AMEFARIKI USIACHE KUMUOMBEA DUA.
................
Ee' kidole changu (jinalo index ka'skosei). . . Ni lini utavaa pete kuthibitisha ushakwalifai leseni ya kuishi na Binti Beyo nimpendae kwa dhati tokea kilindini?
...................
 "%%%,,"Nina",,%%%,,"busu"%%%,,"tam"%%%,,"kwa"%%%,," ajili"%%%,,"yako"%%%,,"haya"%%%,,"% %%",,"fumba"%%%,,"macho"%%%",,"bac"%%%,,"nikubusu"%%" 1__2__3aah" umevunja"%%%,,",,"masharti"%%%,,",,"bado"%%%,,",,",,","unasoma"%%%,,",, "sms"%%%,,"%%%,," nimeairisha"%%%,,"siku"%%%,,"busu",,"tena"%%%,,"%%%,,"labda"%%%,,"%%%,,"kesho"%%%,,"I "LOVE,,",,"YOU"
...........................
.*""* . *""*.
* ""I-""L-""O
 "*.""V""E"*
      "*.U*" Hii ni mizani ya mapenzi, wengine hutoa mali au zawadi, mimi natowa moyo wangu kwako.Je ww unatoa nini ?
...........................
Kwenye ubongo  nimekusevu "I LOVE YOU," na moyoni nimeandika "ONLY YOU," na kila nimuonae  nasema "NO ONE LIKE YOU," wala cogopi kusem I'm "CRAZY" for you,every  "SECOND" I think about "YOU" so napenda uamini "ME" for "YOU," nice tym"MY DEAR" MWAAAAAAA!!!!pls kiss 4me ok
............................

  Kila nilipoona msg yako ndani yake niligundua mambo makubwa manne. 1/ KUNIJALI,
2/ UPENDO
3/ FURAHA
4/ WEMA. Nilipogundua hayo nilifarijika na nikayaon
............................
Nimepanda gari la "KUKUPENDA" Nimefika kituo cha "KUKUWEKA" (moyoni)  Ghafla nikapata ajali mbaya ya kuwa mbali "NAWE", Nimelazwa hospital ya "KUKUMISS" (100%)  Nimeandikiwa sindano za "KUKUWAZA" / kila saa,,,  Nimetundikiwa dripu ya "UAMINIFU" na nimepewa dawa za kunizuia kumpenda "MWINGINE" zaidi yako!!(.....)
...........................
 napenda wali nyama , ugali mchicha, pia roast nyama na supu mchemsho ila vyote sipendi zaidi ya ninavyokupenda.
..................... 
Sasa nimegundua DAWA ya MAISHA! N kulipiza VISASI yaani: Ukinichukia NAKUPENDA Ukiniudhi NAKUFURAHISHA, Ukinisahau NAKUKUMBUKA, ukikaa kimya NAKUSALIMIA! MAMBO?
..........................


 Salamu ni moyo ktk "IMANI". Salamu ni uhai ktk "UPENDO". Salamu ni ufunguo wa "RIZIKI" salamu ni chakula cha "NAFSI" salamu ni "MSAMAHA" wa kudumu milele. Salamu ni kinga ya maradhi" salamu huondosha "UADUI" Hakika salamu ni"UTAKASO" wa "NAFSI". Nami nakupa wewe niliyekutunuku. **
.............................
Mapenzi ni matamu napia yana raha, wewe hauni ishi hamu, siku zote wanipa raha, wewe kwangu ni mtu muhimu, unaeng'aa moyoni mwangu kama nyota ya jaha. "NAKUOMBA USINIACHE MPENZI WANGU"
...................
Dhamira kuu ya Moyo wangu ni Mapenzi, kukupenda kwa dhati bila kipingamizi, kuishi nawewe kihalali kwa kudra za wazazi, Nipende nikupende Tudumishe Mapenzi. "NAKUTAKIA MCHANA MWEMA MPENZI WANGU"

..............
Siku niliyokutana na wewe kwa mara ya kwanza haiwezi kufutika mpenzi, ilikuwa siku nzuri sana kwangu, siku ya kutambulisha hisia zangu kwako! Ukanipokea na kunikaribisha moyoni mwako! Hakika nakupenda sana mpenzi wangu!
.........................
Samahani mpenzi kwa kukupa habari mbaya! Nimepata ajali ya MOYO, nimelazwa wodi ya MAPENZI, Daktari kaniandikia vidonge aina ya BUSU, nimetafuta katika maduka yote ya dawa nimekosa! Je, wewe waweza kunipatia mpenzi wangu?
..................
Kila chozi likidondoka linaandika jina lako, kila waridi nilipandalo latoa harufu yako, kila moyo udundapo hutaja jina lako, nakupeda mpenzi wangu wa ubani, kukusaliti siwezi asilani!
......................
Bongo zenye fikra kali huwa na mawazo, suluhu na sababu; ubongo wa kisayansi huwa na kanuni, nadharia na takwimu; wangu una wewe tu!
.....................
Kama mapenzi huweza kukimbiwa kwa kufumba macho yetu tu, basi nisingefunika macho kabisa. Sitaki sekunde ipite bila kukupenda wewe.
...................
Naweza kukuazima mabega yangu upande, masikio yangu usikilizie mikono yangu ushikie, miguu yangu, utembelee, lakini si moyo wangu kwani tayari unao wewe.
.......................
Lazima utakuwa mwizi sababu umeiba moyo wangu, umechoka sababu unakimbia mara zote akilini mwangu, na labda mimi sina shabaha sababu mara zote nikikulenga nakukosa.
.................
Mpenzi nakupa pole sana maana nimesikia habari mbaya kwamba unatafutwa na polisi kwa kosa kubwa sana ambalo huwezi kulikana na lina ushahidi wa kutosha kwamba unatuhumiwa kuiba moyo na mawazo yangu kiasi cha kunijeruhi mawazo yangu hadi sasa naonekana kama chizi.
........................................................................
    STORY NZURI
      YA UPENDO

Kulikuwa na vipepeo wawili waliokuwa wanapendana sana, siku 1 waliamua kucheza mchezo wa mahaba.  Waliweka ua na walipanga kesho ambaye atakuja mapema na kukaa juu ya UA, atakuwa anampenda mwenzake zaidi. Asubuhi kipepeo dume alienda mapema sana na kukaa juu ya UA.
Masikini kumbe jike alifika tangu jana  kumwonesha mpenzi wake ni jinsi gani anavyompenda...!!
Jee...!! wewe, utamuonesha nini umpendaye  ili aone ni kiac gani
.......................
 Tunda gani liwe mfano wako? Hamna ! Ladha gani ishinde ukarimu wako? Hamna! Ni nani nimfananishe na wewe? Hakuna! najickia furaha kukutakia uck mwema
..........................
 Kwenye ubongo  nimekusevu "I LOVE YOU," na moyoni nimeandika "ONLY YOU," na kila nimuonae  nasema "NO ONE LIKE YOU," wala cogopi kusem I'm "CRAZY" for you,every  "SECOND" I think about "YOU" so napenda uamini "ME" for "YOU," nice tym"MY DEAR" MWAAAAAAA!!!!pls kiss 4me ok
........................
 Kila nilipoona msg yako ndani yake niligundua mambo makubwa manne. 1/ KUNIJALI,
2/ UPENDO
3/ FURAHA
4/ WEMA. Nilipogundua hayo nilifarijika na nikayaona MAISHA ni ya Maana pia sikuhisi UPWEKE wa kukosa NDUGU katika huu uso wa DUNIA.Mm nakutakia mambo makubwa matatu kwa MUNGU
1/ RADHI ZAKE,
2/ HAIBA KWA WATU
3/ MAFANIKIO KATIKA KAZI ZA MIKONO YAKO.USIKU,,MWEMA,
..........................
 Nakupenda sana .Tafadhali nionyeshe mapenzi ya kweli kila mara na sio kwa msimu. Ningependa unishike kila mara, uniguse, unikumbatie kila wakati. Mimi ni msaada mkubwa sana kwako, nibusu popote utapokuwa nami usiniogope hakuna mtu wa kukushangaa,, nichukue hata ukiwa safarini sitalipa nauli. Kwani sina gharama kwako, hata kwenye mfuko wako wa nguo nitakaa. Nitumie kila unapojihisi upo mpweke sitaacha kukupa faraja, ni mimi mpenzio wa ukweli 'QUR-AN,,NAKUTAKIA,,RAMADHANI,,KAREEM,,USIKU,,MWEMA!!!!
..........................
 "%%%,,"Nina",,%%%,,"busu"%%%,,"tam"%%%,,"kwa"%%%,," ajili"%%%,,"yako"%%%,,"haya"%%%,,"% %%",,"fumba"%%%,,"macho"%%%",,"bac"%%%,,"nikubusu"%%" 1__2__3aah" umevunja"%%%,,",,"masharti"%%%,,",,"bado"%%%,,",,",,","unasoma"%%%,,",, "sms"%%%,,"%%%,," nimeairisha"%%%,,"siku"%%%,,"busu",,"tena"%%%,,"%%%,,"labda"%%%,,"%%%,,"kesho"%%%,,"I "LOVE,,",,"YOU"
........................
 Nimepanda gari la "KUKUPENDA" Nimefika kituo cha "KUKUWEKA" (moyoni)  Ghafla nikapata ajali mbaya ya kuwa mbali "NAWE", Nimelazwa hospital ya "KUKUMISS" (100%)  Nimeandikiwa sindano za "KUKUWAZA" / kila saa,,,  Nimetundikiwa dripu ya "UAMINIFU" na nimepewa dawa za kunizuia kumpenda "MWINGINE" zaidi yako!
.........................
 Neno "ASUBUHI NJEMA" ni dogo sana lakini huwezi kulipata kwa asiye kujali, kukukumbuka na kukupenda, lakini mimi naona umuhimu wa kukutakia
"ASUBUHI NJEMA. JE, UMEAMKA SALAMA? si lazima ujibu kwa meseji! hata ukitabasamu na kutikisa kichwa tu inatosha! Asubuhi njema.
........................
  AJABU YA PENZI:
1. Penzi sio UGONJWA lkn linauguza!
2. Penzi sio MSIBA lkn linaliza!
3. Penzi sio HARUSI lkn lafurahisha!
4. Penzi sio SUMU lkn linaua!
5.Penzi c MATESO lkn linatesa!
6. Penzi c KIDONDA lkn linatonesha!
7. Penzi c CHEO lkn laheshimiwa!
8. Penzi c MALI lkn linalindwa!miss u.
.......................
ITAKUA" Kama "NDOTO" Pale "MOYO" Wangu Utakapozima Kama "MSHUMAA" Uliopulizwa Kwa Upepo. Utatamani Niamke Angalau Usikie "SAUTI" Yangu Lakini Utakuwa Tayari Umeshachelewa. "KILIO, HUZUNI, SIMANZI Na MAJONZI" Zitakuwa Zimetanda Katika Kuta Za "MOYO" Wako. MACHOZI" Yatakutoka Kila Utakapokumbuka UCHESHI Wangu Na Moyo Utakuwa Mpweke Kila Utakapoiona NAMBA Yangu Kwenye Simu Yako. Utatamani Uifute Ila Roho Itakuuma Kwa Kuwa Umenizoea. Hivyo Jaribu Kufurahia uwepo wangu angali nipo hai.tusameheane hakika sisi nibinadamu hatujakamilika.hakuna ambaye sio mkosefu"J.pili njema Hny.
........................
chozi langu adimu ila wewe waeza litoa,kilio changu cha msimu ila ww waeza niliza,nakupenda xana
.......................
 chozi ni kimiminika chenye ladha,hutoka kwa sababu fulani au kuajili ya mtu fulani,kwangu mie chozi langu la tiririka bila sababu kila ninapo kuona,nashindwa kuelewa kwanini ?wakati najua chozi halitoki bila sababu,baada ya kutafakari kwa mda niligundua pendo la dhati nililo nalo kuajili yako ndilo hunifanya niwe katika hali hiyo.
........................
***Pasipo na SALAMU hapana UPENDO***.

***Pasipo na UPENDO hapana AMANI***.

***Pasipo na AMANI hapana IMANI***.

***na bila ya IMANI huingii PEPONI***

Kama unayasadiki maneno haya mpe SALAMU yule unaye mpenda na unayemjali.

Mimi ninakupenda na ninakujali ndio maana ninakusalim
na kukutakia asbh njema
...............
 => Wahenga walisema;
" Salamu ni Nusu ya kuonana "
=> Wenye Hekma wamesema;
" Raha ya Salamu ni Kusalimiana "
=> Waungwana nao wamesema;
" Ukipata Salamu, kamata Kalamu "
=> Hao wote waliona Umuhimu wa Salamu, na ndio maana wakavumbua Misemo mbali mbali kwa ajili ya kuzidisha :-
=> URAFIKI,
=> UNDUGU, baina ya watu wanaosalimiana.
=> Nami kwa kulijua hilo, nafanya Hima kukusalimia ndugu yangu kwa kusema
:UHALI GANI?
......................
 Nalia  ukiwa "MBALI" nachukia nisipo "KUONA" najuta ninapo "KUUDHI" naumia unapo"NITENGA" nateseka ukiwa "KIMYA" ninafurahi "UKINIKUMBUKA.  UCKU MWEMA  Hny.
.......................
Kabla ya ndoa mambo huwa hivi;-

MME: Natamani sana iwe hivyo.
MKE: Vipi, wataka niondoke?
MME: Hapana hata kidogo.
MKE: unanipenda?
MME: Ndo maanake.
MKE: Utakuwa na mpenzi mwingine zaidi yangu?
MME: Siwezi huo upuuzi.
MKE: Utanibusu milele?
MME: Kila mara.
MKE: Je, utanipiga?
MME: Aaaa haiwezi tokea.
MKE: Naweza kukuamini?
MME: Naam.
MKE: Jamani mpenz!!

Na pia ukitaka kujua baada ya ndoa mambo huwaje?. Anza kusoma sms hii kuanzia chini kwenda juu.
.........................
AJABU YA PENZI:
1. Penzi sio UGONJWA lkn linauguza!
2. Penzi sio MSIBA lkn linaliza!
3. Penzi sio HARUSI lkn lafurahisha!
4. Penzi sio SUMU lkn linaua!
5.Penzi c MATESO lkn linatesa!
6. Penzi c KIDONDA lkn linatonesha!
7. Penzi c CHEO lkn laheshimiwa!
8. Penzi c MALI lkn linalindwa!miss u.
..........................
 ITAKUA" Kama "NDOTO" Pale "MOYO" Wangu Utakapozima Kama "MSHUMAA" Uliopulizwa Kwa Upepo. Utatamani Niamke Angalau Usikie "SAUTI" Yangu Lakini Utakuwa Tayari Umeshachelewa. "KILIO, HUZUNI, SIMANZI Na MAJONZI" Zitakuwa Zimetanda Katika Kuta Za "MOYO" Wako. MACHOZI" Yatakutoka Kila Utakapokumbuka UCHESHI Wangu Na Moyo Utakuwa Mpweke Kila Utakapoiona NAMBA Yangu Kwenye Simu Yako. Utatamani Uifute Ila Roho Itakuuma Kwa Kuwa Umenizoea. Hivyo Jaribu Kufurahia uwepo wangu angali nipo hai.tusameheane hakika sisi nibinadamu hatujakamilika.hakuna ambaye sio mkosefu"J.pili njema Hny.
.......................
 Mpita njia kashkwa na kiu kaenda kuomba maji jiran,dogo akampa maziwa jamaa akanywa akasema kiu bado,dogo akampa tena glasi ya maziwa,jamaa akauliza mna maziwa mengi? Dogo akamjibu si hatuyataki kwani jana panya alidumbukia, jamaa kusikia hivyo akashtuka akaangusha glasi,basi dogo akaita mamaa mgeni kavunja ile glasi ya bibi ya kutemea mate!!! Jamaa akazimia...aa!!
.........................
  ingekuwa upendo unauzwa nisingekuuzia kamwe,ingekuwa pendo ni mwandiko ningeandika counte nzima,ingekuwa pendo ni wino hakika kalamu yangu isiyoisha,ingekuwa pendo ni kisima maji kisimani kwangu kwa ajili yasingekauka.nakupenda hny
...........................
 pendo ni mwandiko mzuri wenye vina ya kimapenzi,kwa utajo wake ni wenye kutamkwa vizuri,kwa uzuri wake hutufanya tupendane xana,acha nikupe mwandiko wangu nakuomba uuthamini.
.........................
 Wagunduzi walifanya hivi kujua asali ni tamu walionja kwa ulimi, vile vile shubiri kujua kama ni chungu walionja kwa ulimi. Lakini wanasema mapenzi ni matamu zaidi ya asali na ni machungu kuliko shubiri. Je.? Unaweza kuniambia waliyaonja vipi kabla ya kujua?
........................
 Udugu wa kweli ndio wenye thamani,
Utajiri na mali si chochote maishani,
Upendo na kunijali ni faraja ya moyoni,
Hata kama upo mbali bado nakuthamini, Sa(.....)
..........................
  "UPENDO"
haupandwi ardhini,      "UPENDO"
hauoti baharini,
"UPENDO"
haununuliwi dukani,
"UPENDO"
hauna ushauri,
"UPENDO"
haufundishwi darasani,
bali"UPENDO"hutoka ktk moyo wa mtu.
Na ni tabia ya mtu aliyozaliwa nayo toka kwa"MUNGU".  na kudhihirisha hilo Napenda Kuktakia USKU MWMA.
..........................
mimi ni mkimbizi wa mapenzi na nimekimbilia kwako,sikwenda mwingine wewe ndiye chaguo langu,nipe hifadhi moyo mwako mwenzio sinayo hali. nihifadhi peke yangu nami nitakuhifadhi moyoni mwangu.
.........................
 nakutakia usiku mwema kwako wewe wangu kipenzi,uote njozi njema,na uniote nami pia., usiku huu uwe wenye baraka kwako nami dua kukuombea,malaika wa kheri wazunguke kitanda chako.usiku mwema.
........................
 mapenzi ni kama mti huchanua yanaponyeshewa,hunawiri yanapolelewa,na hutoa matunda pindi yanapo thaminiwa,gharama la tunda litokalo mtini hapo hutegemeana na ubora wake.nasi tulifanye penzi letu liwe bora,na lenye kuthaminiwa.
..........................
 pendo ni dawa ya kidonda cha moyo,huleta faraja ulipokata tamaa,yaleta furaha ulipokwa unaraha,huleta thamani iliyopotea,huleta amani pasipo na amani,nakupa langu pendo kwa sababu nakupenda sana,usisahau kumeza kwani utaharibu dozi.

Share it:

LOVE SMS

Post A Comment: