DAWASCO YAENDELEA NA KAMPENI YA KUPAMBANA NA WIZI WA MAJI KATIKA ENEO LA BOKO

Share it:

Mafundi kutoka Shirika la Majisafi na Majitaka jijini Dar es salaam (Dawasco) wakiondoa laini ya Majisafi iliyounganishwa bila kufata utaratibu na vishoka katika eneo la Boko Magengeni, ikiwa ni mwendelezo wa kampeni ya kupambana na wizi wa Maji katika jiji la Dar es salaam na Mkoa wa Pwani. 


Share it:

worldheadline

EAST AFRICA NEWS

Post A Comment:

Also Read

Download Audio: Ibra Melody Ft. Marl Seven - Totoro (Prod. by King Briz)

                                 

Anonymous