Kangi Lugola akomaa na maslahi ya askari polisi

Share it:
Mbunge wa Jimbo la Mwibara Mkoani Mara, Kangi Lugola amesema kuwa Serikali inatakiwa kuongeza maslahi ya askari polisi ili kuwawezesha kufanya kazi kwa weledi na umakini.
Ameyasema hayo mapema hii leo Bungeni mjini Dodoma alipokuwa akichangia hoja katika bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani.
Amesema kuwa askari polisi wanafanya kazi kubwa na ngumu hivyo maslahi yao yanatakiwa kuwa ya kuridhisha kuweza kuhudumia familia zao na wao wenyewe wakiwa kazini.
Share it:

SWAHILI MEDIA GROUP LTD

EAST AFRICA NEWS

Post A Comment:

Also Read

Jeshi la polisi Dar lawashikilia watuhumiwa wa meno ya Tembo

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa wawili wakiwa na vipande sita vya

Unknown