Aeshi asema yeye ni mmoja wa wabunge waliotishwa na Mkuu wa Dar es Salaam

Share it:
Mbunge wa Sumbawanga Mjini (CCM), Aeshi Hillaly amesema yeye ni mmojawapo wa wabunge waliotishwa na Mwenyekiti wa Ulinzi na Usalama wa Mkoa wa Dar es Salaam ,Paul Makonda  mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni.

Amesema hayo leo wakati akichangia hotuba ya bajeti waziri mkuu na taasisi zake kwa mwaka 2017/18.

Amesema yuko tayari kutoa ushahidi ukihitajika na kwamba anaogopa kwenda mkoa huo hivi sasa ingawa anapatamani.
Share it:

SWAHILI MEDIA GROUP LTD

EAST AFRICA NEWS

Post A Comment:

Also Read

😂 Sifa mbaya: Cheki kilichompata huyu mwanaume mpenda sifa✔

SIFA MBAYA…Jamaa alikuwa ndani ya daladala Mara simu ikaita alikuwa ni mkewe kwa sifa jamaa akaweka loud speaker ili

Anonymous