Mfumuko Wa Bei Wa Taifa Kwa Mwezi Machi 2017 Umeongezeka Hadi Kufikia Asilimia 6.4

Share it:
Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwezi Machi, 2017 umeongeza hadi kufikia asilimia 6.4 kutoka asilimia 5.5 mwezi Februari 2017.

Hayo yalibainishwa katika taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) kwa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam .

Kwa mujibu wa taarifa hiyo Fahirisi za Bei zimeongezeka hadi 108.44 mwezi Machi 2017 kutoka 101.93 mwezi Machi 2016.Mfumuko wa Bei wa bidhaa za vyakula na vinywaji baridi kwa mwezi Machi 2017 umeongezeka hadi asilimia 11.0 kutoka asilimia 8.7 ilivyokuwa mwezi Februari 2017.


Share it:

SWAHILI MEDIA GROUP LTD

EAST AFRICA NEWS

Post A Comment:

Also Read

DJ D Ommy Afunguka Alivyowaunganisha Baraka Da Prince, Jux Na Ben Pol

Dj wa Clouds Fm, DJ D Ommy ambaye hivi karibuni alizindua kwa vitendo mradi wake wa kuwakutanisha kwenye ngoma moja

Unknown