Rais Magufuli akipokea taarifa ya vyeti kwa watumishi wa Umma

Share it:
Leo Aprili 28, 2017 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amepokea taarifa ya uhakiki wa vyeti kwa watumishi wa umma katika ukumbi wa Chimwaga Dodoma. 
Hata hivyo ripoti ripoti hiyo ina jumla ya majina 9932 ya watumishi ambao walibainika kufanya kazi za umma kwa kutumia vyeti vya kugushi.
Share it:

SWAHILI MEDIA GROUP LTD

EAST AFRICA NEWS

Post A Comment:

Also Read

Broken butterflies (Best Short Love Story)

To everyone who has fell in love or say the one you thought was going to end up with you.. someone once said "Dont

Anonymous