
Hivi karibuni Msan Joh Makini kutoka kundi la Weusi, aliwaahidi mashabiki zake juu ya kufanya kolabo na msanii Davido wa Nigeria, sasa April 3 kupitia ukurasa wa Instagram wa Mwimbaji na staa kutokea Nigeria Davido amethibitisha kuwa tayari wameshaanza kuandaa kolabo hiyo na mkali na mkali huyo wa kaskazini.
Post A Comment: