Waziri mkuu wa Ethiopia, Rais Magufuli Ikulu Dar es salaam

Share it:






 http://i0.wp.com/dar24.com/wp-content/uploads/2017/03/Ethiopia-03.jpg?resize=640%2C427

Waziri Mkuu wa Ethiopia, Hailemariam Desalegn amewasili nchini leo Machi 31, 2017 ambapo atakuwa nchini kwa shughuli mbalimbali za kidiplomasia zinazogusa nyanja muhimu za kiuchumi, Biashara, na Ushirikiano baina ya Nchi ya Ethiopia na Tanzania.
Pia atasaini mikataba mitatu, Kutembelea bandari na kufanya mazungumzo na mwenyeji wake Rais Magufuli.
Ugeni huo utaipa Tanzania fursa ya kujifunza mambo mengi kupitia kwa ugeni huo juu ya kukabili changamoto mbalimbali zinazolikabili bara la Afrika katika masuala ya kilimo cha kisasa katika maeneo yenye uoto wa asili wenye changamoto kama milima hapa nchini Tanzania.

Share it:

SWAHILI MEDIA GROUP LTD

EDUCATION

Post A Comment:

Also Read

News Askofu Gadi anena ya moyoni kuhusu msiba uliotokea jijini Arusha

Askofu wa Kanisa la Good News For All Ministry, Dkt. Charles Gadi ameipongeza Serikali kwa kushirikiana bega kwa be

Unknown