GHANA U17 KUTUA KESHO KUWAVAA SERENGETI BOYS

Share it:
 
272179_heroa
 
 Timu ya taifa ya vijana ya Ghana wenye umri wa chini ya umri wa miaka 17 maarufu kwa jina la Black Starlets, inatarajiwa kutua kesho Jumamosi Aprili mosi saa 9.40 usiku kwa ajili ya mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya wenyeji Serengeti Boys ambayo ni timu ya taifa ya vijana ya Tanzania.
Mchezo huo wa kirafiki wa kimataifa, kati ya wageni The Black Starlets na Serengeti Boys unatarajiwa kufanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam saa 10.00 jioni. Timu hiyo itafikia Hoteli ya Southern Sun jijini Dar es Salaam.
Share it:

SWAHILI MEDIA GROUP LTD

SPORTS

Post A Comment:

Also Read

Rais Magufuli akipokea taarifa ya vyeti kwa watumishi wa Umma

Leo Aprili 28, 2017 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amepokea taarifa ya uhakiki w

Unknown