MALAYSIA YAWAFUKUZA WATU 50 RAIA WA KOREA KASKAZINI

Share it:


Malaysia inasema kuwa itawafukuza raia 50 wa Korea Kaskazini ambao vibali vyao vya kukaa nchini humo vimepitwa na wakati licha ya marufuku ya kuzuia raia wa nchi hiyo kuondoka Malaysia.
Malaysia inasema kuwa watu hao walikuwa wakifanya kazi katika kisiwa cha Borneo.
Lakini haikusema ni kwa nini serikali imeamua kuwatimua, licha ya kuwepo marufuku ya kujibu hatua kama hiyo nchini Korea Kaskazini.
Uhusiano kati ya nchi hizo umesalia kuwa mbaya, tangu kuuawa kwa ndugu wa kambo wa kiongozi wa Korea Kaskazini nchini Malaysia mwezi uliopita.
Share it:

worldheadline

EAST AFRICA NEWS

Post A Comment:

Also Read

YAKUBU AIYEGBENI AFICHUA SIRI YA KUREJEA ENGLAND

Aliyekua mshambuliaji wa timu ya taifa ya Nigeria Yakubu Aiyegbeni amefichua siri ya kurejea katika soka la Engla

Anonymous