WAKIMBIZI WAPEWA FEDHA MAGHARIBI TANZANIA

Share it:


Shirika la mpango wa chakula Duniani WFP limeanza kutoa kiasi cha shilingi elfu 20 pesa taslimu za Kitanzania, sawa na dola tisa, kwa wakimbizi wa kambi ya Nyarugusu mkoani Kigoma Magharibi mwa Tanzania, ambapo zaidi ya wakimbizi laki moja kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Burundi wamehifadhiwa katika kambi hiyo.

Hii ni mara ya kwanza kwa wakimbizi kupewa msaada wa chakula kwa mfumo wa kupokea fedha tangu kuwepo kwa kambi za wakimbizi nchini Tanzania.
Share it:

worldheadline

EAST AFRICA NEWS

Post A Comment:

Also Read

Mkurugenzi UNDP atimuliwa nchini

Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imeliagiza Shirika la Umoja wa Mataifa l

Unknown